Wasanii vinara kwa ushirikina watajwa


Meneja Maneno aliyewahi kuwa meneja wa Diamond Platnumz, Rich Mavoko, Sam wa Ukweli na Nay wa Mitego, amefunguka hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kuwataja wasanii ambao aliwahi kuwapeleka kwa waganga na ambao wanaamini sana ushirikina kuwa ni pamja na Rich Mavoko, Sam wa Ukweli
huku akisema katika wote Diamond Platnumz ndiyo zaidi yao.
"Ndele ni sehemu ambayo baadhi ya wasanii waliiamini sana lakini Mungu akisema 'Yes' ni 'Yes' tu kwa hiyo nakumbuka wasanii ambao nilikwenda nao kwa waganga kuroga ni pamoja na Rich Mavoko tena tulienda mbali kabisa huko Kigamboni ndani ndani huko tumeenda ndugu yangu, nilisharusha nazi katikati yaani usiku ule unajifanya chizi kama umevurugwa" alisema Meneja Maneno
Meneja Maneno
Meneja Maneno aliendelea kutoa orodha ya wasanii hao ambao kwao shiriki ni kitu ambacho wanakiamini na kukiri kwenda nao huko na kufanya mambo hayo
"Hata Sam wa Ukweli siwezi kukataa, ni watu ambao imani yao iliwapeleka huko lakini mimi nakumbuka kazi yangu niliyokuwa nafanya sikutaka kwenda kwa waganga.... ila sasa huyu Mondi sasa nimepata taabu naye, mara leo twende kwa mjomba, tunapeleka unga, leo tunapeleka mchele na mganga alivyo mshenzi hajawahi kuagiza samaki, yeye ni jogoo, mbuzi" alisisitiza Meneja Manen

Comments


Popular posts from this blog

Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye ameitaka Serikali ya awamu ya tano kukivumilia

Mambo 10 ukiyazingatia wewe ni mke bora katika ndoa

Picha ya Beckham na mtoto wake Serengeti imeleta mjadala hadi kwao

CHADEMA yafunguka Hospitali aliolaza Tundu Lissu

Emmanuel Mbasha, aweka wazi haya .

Tanzania inahifadhi wakimbizi wengi zaidi kutoka Burundi ukanda wa Afrika Mashariki

Aliyemuoa mwalimu wake ataka mahakama iwatenganishe bila sababu.

mimi nipo sex Lulu diva

Shamsa amuoneaa wivu Odama