KENYA :Caroline Odinga akutwa amekufa


Aliyekuwa msimamizi msaidizi wa IEBC katika Uchaguzi Mkuu, Caroline Odinga amekutwa akiwa ameuawa baada ya kubakwa.

- Mwili wake ulikutwa katika soko la Sega Jumamosi asubuhi na watu waliokuwa wakielekea katika mazishi ya Mkurugenzi wa TEHAMA wa IEBC, Chris Msando katika kijiji cha Lifunga.

Na jamiiforum

Comments