SPIKA NDUGAI AFUTURISHA WABUNGE NA WATUMISHI WA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza wakati wa futari aliyoiandaa kwa ajili ya Wabunge na Watumishi wa Bunge iliyofanyika katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, kulia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu, anaefuata ni Mbunge wa Bariadi Magharibi Mheshimiwa Andrew Chenge na wa pili kushoto ni Mbunge wa Mbalali Mheshimiwa Haroon Pirmohamed.

Comments


Popular posts from this blog

DROO YA KLABU BINGWA ULAYA HII HAPA

Nyumba ya Mbunge Kigoma Mjini Zitto Kabwe yaungua moto

Cristiano Ronaldo kawaonesha watoto wake mapacha leo

Baada ya Kifo cha Mumewe… Zari Akwaa Aibu 5 #Tazama

hali ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu

Wapiga dili wa madini sasa kukiona

Irine Uwoya: afunguka kuhusu ombi la Dogo Janja kummiliki

hii ndio furaha ya Diamond na zari