Cristiano Ronaldo kawaonesha watoto wake mapacha leo


Zikiwa zimepita siku kadhaa toka staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayaeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo atangaze kuwa amepata watoto mapacha wawili, leo June 29 amepost picha akiwa na mapacha hao.
Ronaldo ambaye timu yake ya taifa ya Ureno ambayo yeye ni nahodha wametolewa jana kwa mikwaju ya penati dhidi ya Chile, leo kuwaonesha hadharani watoto wake mapacha kwa kupost picha kwa mara ya kwanza.

Comments


Popular posts from this blog

ILE SINTOFAHAMU YA NANI BINGWA WA VPL HII HAPA

Michezo:Ajibu huyo yanga

ELIZABETH MICHAEL ' LULU' awafungukia wasanii wa bongo move

fahamu kilichojiri nyumbani kwa Tundulisu