Skip to main content

Picha 10:madaraja makubwa na bora duniani

Hili ni Daraja lenye urefu zaidi yaKilometre 164;Linapatikana CHINA.
2.Tianjin Grand Bridge
Urefu ni zaidi ya Kilometre 100; Mahali ni CHINA
3.Weinan Weihe Grand Bridge
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 79.7; Mahali CHINA
4.Bang Na Expressway
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 56, Mahali THAILAND
5.Beijing Grand Bridge(Beautiful Bridge)
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 48; Mahali CHINA
6.Lake Pontchartrain Causeway
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 38.35 ; mahali U.S.A [MAREKANI]
7.Manchac Swamp Bridge
Urefu wa jumla ni Kilometre 36.69 ; Mahali U.S.A [MAREKANI]

8.YangCun Bridge
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 35.8; Mahali ni CHINA
9.Hangzhou Bay Brigde
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 35.68 ; Mahali CHINA
10.Runyang Bridge
Urefu wa Daraja hilo ni Kilometre 35.66, Mahali ni CHINA

Comments


Popular posts from this blog

Gabo amkana Wema Sepetu

Operesheni vitabu kutinga mashuleni

Emmanuel Okwi: aweka rekodi mapema kabisa

Benchi la ufundi la Simba limefunguka haya

Hawa hapa huwenda waka chukuwa nafasi ya Profesa Sospeter Muhongo

Spika wa Bunge ajiuzulu

Mahakama yatupa maombi ha wabunge waliofukuzwa CUF