Wakili anayemtetea Mwanafunzi Abdul Nondo ameyasema haya

Wakili anayemtetea Mwanafunzi Abdul Nondo, ambaye Jeshi la Polisi linamshikilia kwa upelelezi kufuatia madai ya kutekwa, amesema mpaka sasa yeye na wenzake wamefanya kila jitihada za kumuona mteja wao pasipo mafanikio.
"Kwa jitihada nilizofanya mpk sasa kumuona Abdul Nondo hazijazaa matunda. Hayupo vituo vikuu vyote, tukutane HC kupitia Habeus Corpus watamleta wenyewe!" amesema Wakili Jebra Kambone.
Kauli hii ameitoa kufuatia Kamanda Mambosasa kusema taarifa za Wakili huyo kuwa amezuiwa kumuona kijana huyo ni za uongo.

Comments

Anonymous said…
LuckyClub Live Casino site - LuckyClub Live Casino
LuckyClub Live Casino · Deposit £20 Get £50 · Enter the code PLAY2025 · Play 30+ games · Deposit £10 or luckyclub more · T&C's Apply · Make your first

Popular posts from this blog

sharti la polepole lapata upinzani

wananchi wamshtaki polisi kwakuwanyanyasa

Angelina Jolie kuonekana kwenye jarida la ‘Vanity Fair’.

Afisa wa serikali ajinyonga

Viongozi wa G7 waangazia bara la Afrika

UEFA kuendelea kutimuavumbi hii leo

YANGA YASHUSHA STRAIKA WA AFCON

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO