Angelina Jolie kuonekana kwenye jarida la ‘Vanity Fair’.

Muigizaji wa filamu Hollywood Marekani, Angelina Jolie anatarajiwa kukava jarida la ‘Vanity Fair’ linalotoka Septemba 2017.Katika jarida hilo Angelina atazungumzia maisha yake ya sasa pamaoja na  mahusiano aliyokuwa nayo na  aliyekuwa mumewe Brad Pitt.
Picha zitakazokuwa katika jarida hilo.
Mahusiano ya mwanamama huyo  na Brad Pitt waliisha mna mwaka jana baada ya kuvunja ndoa yao waliofunga mwaka  2014 na walibahatika kupata watoto sita kati yao wapo awalioawasili.

Comments


Popular posts from this blog

wananchi wamshtaki polisi kwakuwanyanyasa

sharti la polepole lapata upinzani

KENYA:Tume Huru ya Uchaguzi yaridhia maombi ya upinzani

Afisa wa serikali ajinyonga

Viongozi wa G7 waangazia bara la Afrika

UEFA kuendelea kutimuavumbi hii leo

YANGA YASHUSHA STRAIKA WA AFCON