Ujumbe wa Idris Sultan kwa Zari

Kwenye IG Tanzania pamekuwa na stori tofauti kuhusu kukosekana kwa machozi na uso wa majozi kwenye muonekano wa Zari baada ya kifo cha mama yake mzazi nchini Uganda.
Picha za Zari na Diamond msibani ziliandamwa na comment zenye maswali ya kwanini Zari haonekani mwenye uzuni. Baada ya comment nyingi juu ya swala hili, mchekeshaji maarufu Idris Sultan alimpa Zari ujumbe huu.
Ujumbe wa Idris unasema >>Fanya chochote ila usiache kulia msibani hawa wabongo wanahesabu hadi machozi na high tone na low tone za mlio wa mfiwa. Utasikia “Pale amepanda key yupo soprano anakuja bass sasaivi then sauti ya 3” #SioHabari

Comments


Popular posts from this blog

DROO YA KLABU BINGWA ULAYA HII HAPA

Nyumba ya Mbunge Kigoma Mjini Zitto Kabwe yaungua moto

Wanawake wasiowaita waume kwa majina yao India

Cristiano Ronaldo kawaonesha watoto wake mapacha leo

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO

Baada ya Kifo cha Mumewe… Zari Akwaa Aibu 5 #Tazama

Emmanuel Mbasha, aweka wazi haya .

Wapiga dili wa madini sasa kukiona