Ofisi ya wakili Fatma Karume na Masha yawaka moto


Ofisi hiyo iliyoungua moto inamilikiwa wakili Fatma Karume pamoja na Lawrence Masha, aidha baadhi ya watu wamejitokeza na kulaani kitendo hicho.

Hata hivyo kikosi cha Upelelezi cha Polisi kinaendelea kufanya uchunguzi kujua chanzo kilichopelekea ofisi hiyo kuweza kuwaka moto majira ya usi
ku wa kuamkia 26 Agosti 2017.

Comments


Popular posts from this blog

wawili wamefariki dunia katika majibizano ya risasi

Jumuiya ya Freemasons imetoa tahadhari nzito kwa Watanzania

Taarifa ya Serikali baada ya kauli za jana za Tundu Lissu

waziri mkuu majaliwa awa mkali

Kilichomkorofisha Mke wa Roma

. Ridhiwani Kikwete amefunguka haya kwa wananchi na baadhi ya viongozi wakae

Spika Ndugai Aagiza Kubenea Kusakwa, Zitto Kufikishwa Kwenye Kamati ya Maadili

Msigwa tunawindwa wabunge wanne CHADEMA -