waziri mkuu majaliwa awa mkali

"Kilosa ni lazima wazilipe hizo fedha. Katibu Tawala simamia zoezi hilo na kama watachelewa, uzikate moja kwa moja kwenye fedha yao wanayoletwa kutoka Ofisi ya Rais (TAMISEMI). Nataka nipewe taarifa ya maamuzi hayo kabla Juni haijaisha,”

Amesema Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati akimwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Clifford Tandari aitishe kikao na uongozi wa Halmashauri ya Kilosa na kupata kauli yao ni lini watalipa zaidi ya sh. milioni 210 wanazodaiwa na Halmashauri ya Gairo.

Waziri Majaliwa ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa ya mkoa na wilaya katika kikao kilichofanyika Gairo mjini.

Comments


Popular posts from this blog

wawili wamefariki dunia katika majibizano ya risasi

Kilichomkorofisha Mke wa Roma

Msigwa tunawindwa wabunge wanne CHADEMA -

CHADEMA yafunguka Hospitali aliolaza Tundu Lissu

MTWARA:watu watano wanashikiliwa na Jeshi la polisi

Anaandika Yericko_Nyerere

John Heche kuja na hoja binafsi muda wa Rais upunguzwe