Real madrid mabingwa tena UEFA
Klabu ya Real Madrid yanyakua kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuinyuka Juventus kwa mabao 4 kwa 1.
- Inakuwa klabu ya kwanza kufanya hivyo, huku Kocha Zidane akiweka rekodi ya kuingoza klabu hiyo kushinda Mara 2 mfululizo.
- Cristiano Ronaldo aibuka mfungaji bora wa michuano baada ya kufunga magoli 12

Comments