Ndoa haijanipoteza - Amini

Amini amebainisha hayo baada ya maswali mengi ya mashabiki zake kutaka kujua ni jambo gani ambalo limemsibu mpaka kupotea katika 'game' ya muziki kwa kipindi kirefu.
"Kuwa kimya kwangu siyo kwa sababu ya kuoa ila mimi napenda kuandaa vitu vizuri vingi ili ninavyoanza kutoa nyimbo inakuwa 'non stop. Sikuwa na nia ya kusuka albamu, nilikuwa naandaa 'single' kwa ajili ya kwenda kutikisa ulimwengu" -alisema Amini.
Pamoja na hayo, Amini amesema mpaka sasa ameshamaliza kutengeneza ngoma kumi ambazo anategemea kuzidondosha wakati wowote kutoka sasa.a haijanipoteza - Amini
Amini
Amini amebainisha hayo baada ya maswali mengi ya mashabiki zake kutaka kujua ni jambo gani ambalo limemsibu mpaka kupotea katika 'game' ya muziki kwa kipindi kirefu.
"Kuwa kimya kwangu siyo kwa sababu ya kuoa ila mimi napenda kuandaa vitu vizuri vingi ili ninavyoanza kutoa nyimbo inakuwa 'non stop. Sikuwa na nia ya kusuka albamu, nilikuwa naandaa 'single' kwa ajili ya kwenda kutikisa ulimwengu" -alisema Amini.
Pamoja na hayo, Amini amesema mpaka sasa ameshamaliza kutengeneza ngoma kumi ambazo anategemea kuzidondosha wakati wowote kutoka sasa.

Comments

Popular posts from this blog

ILE SINTOFAHAMU YA NANI BINGWA WA VPL HII HAPA

Michezo:Ajibu huyo yanga

ELIZABETH MICHAEL ' LULU' awafungukia wasanii wa bongo move

fahamu kilichojiri nyumbani kwa Tundulisu