Linah aamuakuwamuwazi kuusu kujifungua kwake


Kabla ya kupata mtoto wa kike linah afunguka kuwa ashawahi kuchoropoa mimba mbili. Na hayo ndo yalikuwa majibu yake alipokuwa akiulizwa na Mtangazaji Soudy Brown


“Yah nisiwe muongo nilishawahi kutoa mimba kipindi cha nyuma, nilikuwa naogopa kwasababu Baba yangu alikataa mtu kubeba mimba nje ya ndoa” “Mimba nimezitoa, siyo mara nyingi ila naweza kusema kama mara mbilii”:-Linah

Comments


Popular posts from this blog

Silole aweka wazi mambo

Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye ameitaka Serikali ya awamu ya tano kukivumilia

MBUNGE wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ajitolea kwa wazee

WANAWAKE WEUSI WENYE NGUVU YA PESA DUNIANI.

Ujumbe wa Idris Sultan kwa Zari

wanafunzi 10 wafutiwa matokeo kidato cha sita kwa udanganyifu