BREAKING NEWS, :Alichokisema Mbowe kwa wanahabari

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa sasa
hakuna utaratibu wa kumsafirisha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwenda Marekani au Ujerumani kutokana na ushauri wa madaktari wanaomtibu.
Akizungumza leo Ijumaa jijini hapa, Mbowe amesema madaktari wamesema hawezi kwenda popote kutokana na hali yake.
Amesema baada ya awamu ya kwanza ya matibabu aliyoyapata katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma baada ya kushambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi Septemba 7, ya pili inafanyika Nairobi, Kenya alipo sasa.
"Awamu ya tatu itaamua aende wapi ambayo itahusu mazoezi," amesema Mbowe.

Comments


Popular posts from this blog

Bavicha waja na hili lakuwashughulikia waalifu wasiojulikana

Ommy dimpoz;! Nasimama kwenye haki ‘Cheche ni wimbo wangu’

DC akiri kuwaweka ndani viongozi wa CHADEMA

BREAKINGNEWS serikali yamjibu tundulisu

Jux afunguka haya kuhusu vanessa mdee

Waziri Mwijage alivyovamia kiwanda cha Mbunge wa CCM

Mapya yaibuka ripoti ya gesi mtwara

yaibuka sintofahamu mazishi ya Ndesamburo      

Mnyika awaponza askari sita, kamanda asema jeshi linawahita.