BREAKINGNEWS serikali yamjibu tundulisu
Serikali imewataka wananchi kupuuza uvumi ulianzishwa na wanasiasa juu ya ndege za Bombadier na kusema kuwa wawe watulivu ndege ya tatu ipo na inakuja nchini hivyo waendelee kuiamini serikali yao.
Hayo yamesemwa na Ndg. Zamaradi Kawawa Kaimu Mkurugenzi mkuu idara ya habari
"Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili"
-
Comments