Mwanamke mmoja nchini Kenya aingia mtaani kusaka mume huku akiwa amebeba bango

Mwanamke mmoja nchini Kenya ameamua kuingia mtaani kusaka mume huku akiwa amebeba bango katikati ya jiji la Nairobi. Akiwa amevalia nguo nyeupe- kama ya harusi- mwanamke huyu mwenye umri wa miaka 28, Pris Nyabura, amebeba bango linalosema: “Nahitaji mume, nina mtoto wa kike wa miaka saba.”
Mwandishi amejaribu kumpigia simu ili kupata taarifa zaidi, lakini simu yake iko “bize”….

Comments


Popular posts from this blog

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO

KENYA :Caroline Odinga akutwa amekufa

mimi nipo sex Lulu diva

mchezaji afariki uwanjani

Mambo 10 ukiyazingatia wewe ni mke bora katika ndoa

Gabo amkana Wema Sepetu

Mabodi aitaka CCM iendelee kufanya sera za ushindani wa maendeleo 

BREAKINGNEWS serikali yamjibu tundulisu