Emmanuel Okwi: aweka rekodi mapema kabisa
Hayo yamebainishwa na taarifa kutoka katika kurasa maalum ya timu hiyo baada ya mchezaji huyo kupigiwa kura na wanachama wa Simba pamoja na mashabiki zake kupitia mtandao wao wa kijamii.
Emmanuel Okwi amekuwa mchezaji wa kwanza kuchukua tuzo hiyo ya mchezaji bora ndani ya timu tokea uliopoanza msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/2018.
Comments