Kubenea: Tundu Lissu anawajua kwa sura waliompiga risasi
Ameyasema hayo alipopewa nafasi ya Kusalimia katika Ibada iliyofanyika kwenye kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo jijini Dar Es Salaam.
Kubenea ameongeza kwamba, Mmoja ya waliompiga risasi alikuwa amevaa Kapero na Miwani nyeusi, sura ipo.
Amedai Tundu Lissu walianza kumfuatilia Kuanzia Tegeta, Baada ya kugundua anafuatiliwa kwa kuwa gari yake ni kubwa, aliweza kuwakimbia hadi Dodoma na kuwaacha.
Kubenea ameendelea kufunguka kwamba si kweli kwamba Tundu Lissu alipigwa risasi 28 hadi 32, bali alipigwa risasi 38. Polisi waliokota Maganda ya risasi 30 ya SMG na risasi nane za Bastola.
Amesema Walipopiga risasi Lissu alilala Mbele ya kiti cha dereva, lakini wauaji walijua kalaza kiti chake kwa nyuma hivyo wakapiga risasi 25 Mlango wa nyuma wakijua ndipo Lissu kajificha.
Vilevile alikuwepo ndugu yake Tundu Lissu Vincent Lissu Mughwai amabye ni mchumi anayefundisha Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam.
Vicent (mdogo wake Tundu Lissu) amesema kabla kaka yake hajashambuliwa kwa risasi, alimwambia kuna mtu anafuatilia gari lake.

Comments