Zitto akamatwa na polisi

Ofisa Habari wa ACT-Wazalendo, Abdallah Khamis amesema Zitto ambaye ni Kiongozi Mkuu wa chama hicho amekamatwa jioni hii.
Leo Jumatano asubuhi, Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah alisema Zitto atafutwe, akamatwe na kufikishwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.
Alisema Zitto alipewa barua ya wito wa kufika mbele ya kamati hiyo baada ya Spika Job Ndugai kuagiza hilo lifanyike lakini hajalitekelez

Comments


Popular posts from this blog

wawili wamefariki dunia katika majibizano ya risasi

waziri mkuu majaliwa awa mkali

Kilichomkorofisha Mke wa Roma

Msigwa tunawindwa wabunge wanne CHADEMA -

CHADEMA yafunguka Hospitali aliolaza Tundu Lissu

MTWARA:watu watano wanashikiliwa na Jeshi la polisi

Anaandika Yericko_Nyerere

John Heche kuja na hoja binafsi muda wa Rais upunguzwe