Polisi wawili wauwawa kwakupigwarisasi

Polisi wawili waliokuwa kituo cha Polisi Kayole Nairobi wameuawa kwa kupigwa risasi na kisha wauaji kuondoka na bastola walizokuwa nazo
Maafisa polisi wenzake kutoka kambi ya polisi ya Kirima waliikuta miili yao barabarani asubuhi.
Mafisa hao wametambuliwa kuwa ni Konstebo Linus Inima and James Gitahi.
Maafisa wa polisi wamekuwa wakipambana na waandamanaji wanaopinga uchaguzi na eneo la Kayole huko Nairobi ni kati ya maeneo yaliyoathiriwa na vurugu hizo, ila haijajulikana kama mauaji ya polisi hao yanahusiana na uchaguzi

 Na jf

Comments


Popular posts from this blog

wawili wamefariki dunia katika majibizano ya risasi

waziri mkuu majaliwa awa mkali

Kilichomkorofisha Mke wa Roma

Msigwa tunawindwa wabunge wanne CHADEMA -

CHADEMA yafunguka Hospitali aliolaza Tundu Lissu

MTWARA:watu watano wanashikiliwa na Jeshi la polisi

Anaandika Yericko_Nyerere

John Heche kuja na hoja binafsi muda wa Rais upunguzwe