MASHABIKI WAKERWA NA POST ZA DIAMOND KWENYE MSIBA WA IVAN SSEMWANGA


Baadhi ya Mashabiki wa Zari The Boss Lady waonyeshwa kukerwa na kitendo cha mpenzi wake Zari, Diamond Platnumz kupost picha mbalimbali za Media Tour na akiwa stejini nchini Kenya wakati waubavu wake Zari akiwa kwenye kipindi Kigumu cha Msiba Wa Mzazi mwenzake aliyefariki wiki iliyopita Nchini Afrika Kusuni.
“Rafiki mzuri ni yule anayekupa ushauri mzuri ,,, stop to post these images on media in one month period or more, maana umezifungulia kana kwamba unafurahia badala ya kuomboleza ” pole_zari_ze_boss_lady_ alichangia maneno haya katika moja ya picha ambazo ziliwekwa na Zari Kitika Ukurasa wake wa Instragram
Tazama Picha post sita za juu zilizo kwenye ukurasa wa instagram wa Diamond Platnumz

Comments


Popular posts from this blog

ILE SINTOFAHAMU YA NANI BINGWA WA VPL HII HAPA

Michezo:Ajibu huyo yanga

ELIZABETH MICHAEL ' LULU' awafungukia wasanii wa bongo move

fahamu kilichojiri nyumbani kwa Tundulisu