Bajeti imetayarishwa kwa umakini, inahitaji kuungwa mkono”Prof. Anna Tibaijuka


BUNGENI
 Mbunge wa Muleba Kusini Prof. Anna Tibaijuka ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma mwisoni mwa wiki kuchangia mapendekezo katika Bajeti Kuu ya Serikali inayoendelea kujadiliwa kwa mwaka wa fedha 2017/18 na kulieleza Bunge hali ya uchumi ilivyo nchini.

Comments


Popular posts from this blog

Silole aweka wazi mambo

Diego Costa na Antonio Conte, ndani ya vita nzito

Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye ameitaka Serikali ya awamu ya tano kukivumilia

KENYA :Caroline Odinga akutwa amekufa

WANAWAKE WEUSI WENYE NGUVU YA PESA DUNIANI.

Ujumbe wa Idris Sultan kwa Zari