Mtanzania aliyekataa mshahara wa Tsh. milioni 425 Marekani amerejea nyumbani


Benjamin Fernandes ni Mtanzania ambaye ameingia kwenye headlines katika mitandao mbalimbali baada ya kuhitimu Masters kwenye Chuo Kikuu cha Biashara kinachotajwa kuwa Namba moja Duniani, Stanford, Marekani.
Benjamin anayo hii story nyingine baada ya kukataa ofa za kufanya kazi kwenye makampuni makubwa ambayo yalikuwa tayari kumlipa hadi Tsh. 425m kwa mwaka kama angekubali kufanya kazi akiwa Marekani.
>>Watu wengi wananiuliza kwa nini nimerudi? Kwa nini nimerudi nyumbani? Kweli nilikuwa napewa ofa za Shilingi 425m kwa mwaka kufanya kazi Marekani kwenye kampuni mbalimbali. Mpaka leo asubuhi nimepigiwa simu na kampuni kutoka Marekani ni kampuni kubwa sana.”



Na Millard ayo.com

Comments


Popular posts from this blog

Afariki kwakuchomwa na kisu

Prof. Maghembe atoa neno kwa wavamizi wa misitu.

Wabunge wanamna hii kufukuza ccm

Maajabu ya pacha walioungana, wajikuta katika penzi moja .

Barcelona sasa yawa moto baada ya hili

Mwanamke yeyote nampenda, awe mweusi, mweupe, mwembamba au unene – Timbulo

Mwezi Mtukufu… Roma Awafuturisha Watoto Yatima

BREAKING NEWS, TANGA polisi watumia mabomu kutawanya watu

Mbunge wa kigoma atafaute kazi nyingine