Barcelona sasa yawa moto baada ya hili


Ni siku 21 baada ya staa wa kimataifa waBrazil aliyekuwa anaichezea FC Barcelona Neymar aamue kuihama club hiyo na kujiunga na Paris Saint Germain ya Ufaransa kwa rekodi ya dunia ya pound milioni 199, leo FC Barcelona wamesajili mbadala wake.
FC Barcelona ambao walikuwa wamelenga kumsajili mbrazil PhilippeCoutinho kutokaLiverpool au Ousmane Dembélé kama chaguo lao la pili kama wakimkosaCoutinho, leo August 25 wamefanikiwa kumsajili Ousmane Dembélé kwa uhamisho wa pound milioni 96 ambazo zinaweza kuongezeka hadi kufikia pound milioni 136.
Kwa uhamisho huo sasa Ousmane Dembélé mwenye umri wa miaka 20 ndio anakuwa mchezaji wa pili ghali zaidi duniani baada ya Neymar,Dembele amesajiliwa akitokea Borussia Dortmund ya Ujerumani, maamuzi hayo ya FC Barcelona yamekuja baada ya kukataliwa kwa ofa yao ya tatu naLiverpool.

Comments


Popular posts from this blog

Afariki kwakuchomwa na kisu

Prof. Maghembe atoa neno kwa wavamizi wa misitu.

Wabunge wanamna hii kufukuza ccm

Maajabu ya pacha walioungana, wajikuta katika penzi moja .

Mtanzania aliyekataa mshahara wa Tsh. milioni 425 Marekani amerejea nyumbani

Mwanamke yeyote nampenda, awe mweusi, mweupe, mwembamba au unene – Timbulo

Mwezi Mtukufu… Roma Awafuturisha Watoto Yatima

BREAKING NEWS, TANGA polisi watumia mabomu kutawanya watu

Mbunge wa kigoma atafaute kazi nyingine