BREAKING NEWS, TANGA polisi watumia mabomu kutawanya watu
Madereva hao wameamua kusimamisha kila Hiace iliyobeba abiria na kuwaamuru kushuka ndani ya gari. Kama inavyoonekana kwenye picha baadhi ya wanafunzi wakijaribu kutafuta njia mbadala ili waweze kufika shuleni.
Habari zaidi nitwaletea kadri nitakavyo zipata.
Daladala za mkoani Tanga zimegoma kufanya shughuli za usafirishaji jijini hapo na kujikusanya sehemu ya Komesho(mabawa), barabara ya Pangani kutokana na malalamiko yao kibao kutosikilizwa na serikali!
Hivyo Jeshi la Polisi imebidi kutumia nguvu ya mabomu kuwatawanyisha eneo husika..
Najf


Comments