Vanessa Mdee. afunguka

Asubuhi ya leo Vanessa Mdee alikuwepo katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds fm
kwenye exclusive interview kuzungumzia muziki wake na hata maisha binafsi.
Moja kati ya vitu ambavyo ameulizwa
Vanessa Mdee ni kuhusu utayari wake katika suala zima la kupata Mtoto kwa kipindi hiki ukizingatia yeye ni msanii na vitu kama hivyo.
Vanessa Mdee amefunguka kuwa anandoto za kuja kuwa Mama siku za usoni, ila kwasasa hayuko tayari kabisa katika suala hilo.
“Natarajia kupata mtoto ila sio kwasasa, muda ukifika nitakuwa Mama ila kwasasa sina mpango wa kupata mtoto.” Alisema Vanessa Mdee.

Comments


Popular posts from this blog

Gabo amkana Wema Sepetu

Operesheni vitabu kutinga mashuleni

Emmanuel Okwi: aweka rekodi mapema kabisa

Benchi la ufundi la Simba limefunguka haya

Hawa hapa huwenda waka chukuwa nafasi ya Profesa Sospeter Muhongo

Spika wa Bunge ajiuzulu

Picha 10:madaraja makubwa na bora duniani

Mahakama yatupa maombi ha wabunge waliofukuzwa CUF