Tundu lissu atuma salamu ychaguzi wa madiwani

Ujumbe huo kutoka kwa Lissu kwenda kwa wapiga kura umefikishwa na Diwani wa Sombetini Arusha, Ally Bananga ambaye amefika hospitali ya Nairobi nchini Kenya anakopatiwa matibabu mbunge huyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Bananga ameandika, "Nendeni mkawaambie watu kwenye kata zenye uchaguzi kuipa kura ccm ni kufurahia na kuruhusu mateso yetu yaendelee!!... ." Ujumbe alioutoa Lissu kupitia diwani Bananga
Ameongeza kwamba 'Hawa watesi wetu wako katika hatua za mwisho, kama wanajiamini kwa nn wanawawekea mizengwe wagombea wetu ili wao wapite bila kupingwa"

Comments


Popular posts from this blog

wawili wamefariki dunia katika majibizano ya risasi

Jumuiya ya Freemasons imetoa tahadhari nzito kwa Watanzania

Taarifa ya Serikali baada ya kauli za jana za Tundu Lissu

waziri mkuu majaliwa awa mkali

Kilichomkorofisha Mke wa Roma

. Ridhiwani Kikwete amefunguka haya kwa wananchi na baadhi ya viongozi wakae

Spika Ndugai Aagiza Kubenea Kusakwa, Zitto Kufikishwa Kwenye Kamati ya Maadili

Msigwa tunawindwa wabunge wanne CHADEMA -