Raisi Magufuli azidi kugongelea msumari


Magufuli amesema hayo leo Machi 19, 2018 wakati akizungumza na wafanyabiashara na wawekezaji mbalimbali katika mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara Ikulu jijini Dar es Salaam.
"Kuna miradi tumeanza ambayo nafikiri inajenga uchumi wa nchi yetu, bomba la mafuta hili ambalo uwekezaji wake ni zaidi ya dolla bilioni tatu itazalisha ajira zaidi ya watu elfu 15 wale wengine ni wengi zaidi kina mama lishe na kadhalika ni nafasi yenu wafanyabiashara na wawekezaji mkatumia hiyo nafasi ili tusiwe wasindikizaji. Tukatumia faidi ya nchi yetu kuwa salama na amani na ile ilikuwa pointi kubwa sana kwamba Tanzania wala hakuna matatizo, wala hakuna maandamano wala nini jamani muje muwekeze huku na watu wamekuja hiyo kampuni ya Total inajenga bomba ambalo linapita kwenye wilaya zaidi ya 84 ile ni faidi kubwa kwa watu wanaoelewa hiyo ni nafasi kubwa"
alisema Magufuli

Comments


Popular posts from this blog

Mwezi Mtukufu… Roma Awafuturisha Watoto Yatima

Baada ya Kifo cha Mumewe… Zari Akwaa Aibu 5 #Tazama

Picha 10:madaraja makubwa na bora duniani

Wakili anayemtetea Mwanafunzi Abdul Nondo ameyasema haya

mimi nipo sex Lulu diva

Mchungaji Lusekelo ameandika ujumbe huo kwa jamii kuusu Tundulisu

Mara: Aua wawili nakujijeruhi