LISSU, ZITTO, KIGWANGALLA, RIDHIWANI walipuka ripoti ya mchanga

LISSU, ZITTO, KIGWANGALLA, RIDHIWANI WALIPUKA RIPOTI YA MCHANGA
Baadhi ya wabunge wameibua hoja tofauti kwenye mitandao ya kijamii baada ya Rais John Magufuli kupokea ripoti ya mchanga wa madini Ikulu, leo.
Katika akaunti yake ya Twitter, Mbunge wa Singida Mashariki, #Tundu Lissu ameandika, “pongezi kwa kazi nzuri iliyofanywa na tume.”
Mbunge wa Kigoma Mjini, #Zitto Kabwe katika ukurasa wake wa Twitter ameandika, “utafiti unapingwa kwa utafiti. Kwa sasa Kamati ya Mruma Ndio rejea sahihi kwenye suala la mchanga na hivyo nakubali mapendekezo yaliyomo #Ridhiwani kikwete
Nimemsikiliza Mheshimiwa Raisi na kuendelea kuielewa Nia yake njema ya kuisaidia Nchi yake. Tuko pamoja na ninakuunga mkono

Comments


Popular posts from this blog

Afariki kwakuchomwa na kisu

mimi nipo sex Lulu diva

Maajabu ya pacha walioungana, wajikuta katika penzi moja .

Mtanzania aliyekataa mshahara wa Tsh. milioni 425 Marekani amerejea nyumbani

Barcelona sasa yawa moto baada ya hili

Mtandao wa biashara ya ngono wavunjwa

Prof. Maghembe atoa neno kwa wavamizi wa misitu.

Kenyata sina matakwa yoyote kutoka IEBC

Mwezi Mtukufu… Roma Awafuturisha Watoto Yatima