TANZIA:Mzee anayedaiwa kuchora nembo ya taifa afariki Muhimbili Francis Maige (Ngosha) amefariki

Mzee anayedaiwa kuchora nembo ya taifa afariki Muhimbili Francis Maige (Ngosha) amefariki
Francis Maige (Ngosha) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Dar es Salaam. Msanii anayedaiwa kuchora nembo ya Adam na Hawa, iliyotumika kitaifa, Francis Maige (Ngosha) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Ngosha aliyepelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wiki iliyopita kwa ajili ya matibabu, amefariki dunia saa 2 usiku Mei 29.
Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Hospitali ya Muhimbili imeeleza kuwa hali ya Ngosha ilibadilika ghafla akiwa hospitali hapo.
“Mwili wake umehifadhiwa katika chumba cha maiti hapa Muhimbili na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa na mamlaka husika.” imesema t

Comments


Popular posts from this blog

ILE SINTOFAHAMU YA NANI BINGWA WA VPL HII HAPA

Michezo:Ajibu huyo yanga

ELIZABETH MICHAEL ' LULU' awafungukia wasanii wa bongo move

KUTOKA IKULU:Rais Magufuli amefanya uteuzi mwingine leo julai 6 2017

fahamu kilichojiri nyumbani kwa Tundulisu