Wimbo ‘Seduce Me’ wa Alikiba umevunja hii rekodi

Staa Alikiba amekuwa miongoni mwa wasanii waliovunja rekodi ya kufikisha views Millioni Moja kwenye YouTube ndani muda mchache tu tangu kuachia video yake ya wimbo ‘Seduce me’.

Baada ya kuvunja rekodi hiyo Alikiba ametoa shukrani kwa mashabiki kupitia Instagram yake kwa kuandika>>> “Ahsanteni sana. Thank you for the love, I couldn’t be more blessed and favoured. You mean a lot to me and I do this for YOU. Nawapenda sana #RockstarTV #SHOOOOSH#SonyMusicAfrica #RockStar4000#KingKiba“

Comments


Popular posts from this blog

ILE SINTOFAHAMU YA NANI BINGWA WA VPL HII HAPA

Michezo:Ajibu huyo yanga

ELIZABETH MICHAEL ' LULU' awafungukia wasanii wa bongo move

KUTOKA IKULU:Rais Magufuli amefanya uteuzi mwingine leo julai 6 2017

fahamu kilichojiri nyumbani kwa Tundulisu