CCM wafuta uchaguzi wilaya nne

Uamuzi huo umetangazwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole baada ya mkutano huo ambapo amezitaja wilaya hizo zilizofutiwa uchaguzi kwamba ni Moshi Mjini,  Siha, Hai, pamoja na Makete.
Amesema sababu ya kufuta matokeo hayo ni kubainika kwamba wagombea waliojitokea hawakuwa na sifa, pamoja na kubainika kuwepo na viashiria hatarishi kwa chama na kuwa halmashauri imetaka kuanza upya kwa utaratibu wa kupata wagombea wapya

  Na eatv

Comments


Popular posts from this blog

ILE SINTOFAHAMU YA NANI BINGWA WA VPL HII HAPA

Michezo:Ajibu huyo yanga

ELIZABETH MICHAEL ' LULU' awafungukia wasanii wa bongo move

fahamu kilichojiri nyumbani kwa Tundulisu