Diamond Platnumz aweka Rekodi mpya

Staa wa Bongo Fleva kutoka Tanzania Diamond Platnumz amefanikiwa kuweka Rekodi mpya ya Watazamaji wa video za wasanii kwenye mtandao wa Youtube baada ya video yake kutazamwa na watu zaidi ya Milioni 1 ndani ya Masaa 15.
Hii video ya Diamond

Comments


Popular posts from this blog

ILE SINTOFAHAMU YA NANI BINGWA WA VPL HII HAPA

Michezo:Ajibu huyo yanga

ELIZABETH MICHAEL ' LULU' awafungukia wasanii wa bongo move

fahamu kilichojiri nyumbani kwa Tundulisu