Haji manara ameshindwa kuzuia hisia zake afunguka haya

Msemaji wa klabu ya Simba Haji manara ameshindwa kuzuia hisia zake baada ya timu ya Simba Jana kuondolewa katika mashindano ya shirikisho kwa kutoa droo ya 0-0.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Haji ameandika
Simba iliondolewa katika mashindano hayo Jana baada ya kutoa sare ya 2-2 nyumbani na kutoa sare
nyingine ya 0-0. ugenini huku watani zao Wao wakiondolewa katika mashindano ya klabu bingwa na kuingia katika mashindano ya kombe lala shirikisho ALICHO KISEMA HAJI MANARA BAADA YA SIMBA KUONDOLEWA KATIKA MASHINDANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO
 Tumefanya tuliyojaaliwa lakini mpangaji wa kila kitu ni Manani...jitihada hazishindi kudra..tunarudi nyumbani tukiacha heshma kubwa ya klabu na nchi kwa ujumla Misri...sasa nguvu yetu ipo ktk VPL.....Asante kwa dua na Sala zenu..Bravo SSC 🙏🙏 #SimbaScNguvuMoja #ThisIsSimba 

Comments


Popular posts from this blog

DROO YA KLABU BINGWA ULAYA HII HAPA

Nyumba ya Mbunge Kigoma Mjini Zitto Kabwe yaungua moto

Cristiano Ronaldo kawaonesha watoto wake mapacha leo

Baada ya Kifo cha Mumewe… Zari Akwaa Aibu 5 #Tazama

hali ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu

Wapiga dili wa madini sasa kukiona

Irine Uwoya: afunguka kuhusu ombi la Dogo Janja kummiliki

hii ndio furaha ya Diamond na zari