Rais ajiuzulu

Gurib-Fakim ambaye alikuwa rais pekee mwanamke barani Afrika ameshutumiwa kwa kununua vitu binafsi vya kifahari vyenye thamani ya maelfu ya dola kwa kutumia kadi ya benki ya Taasisi ya Dunia yenye makao yake nchini Uingereza.
Gurib-Fakim alisema mapema wiki hii kwamba aliitumia kadi "bila kujua" lakini alikuwa amewarudishia fedha hizo.
Gurib-Fakim alichaguliwa kuwa rais mwaka 2015 na hapo awali alikuwa Profesa wa kemia katika kitivo cha sayansi cha Chuo Kikuu cha Mauritius.

Comments


Popular posts from this blog

DROO YA KLABU BINGWA ULAYA HII HAPA

Nyumba ya Mbunge Kigoma Mjini Zitto Kabwe yaungua moto

Cristiano Ronaldo kawaonesha watoto wake mapacha leo

Baada ya Kifo cha Mumewe… Zari Akwaa Aibu 5 #Tazama

hali ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu

Wapiga dili wa madini sasa kukiona

Irine Uwoya: afunguka kuhusu ombi la Dogo Janja kummiliki

hii ndio furaha ya Diamond na zari