wasanii wa bongo wang,ara tuzo uganda

zimetolewa Tuzo za Hipipo ambazo zinatolewaga kila mwaka nchini humo na kwa usiku wa jana zilitolewa tuzo katika Ukumbi wa Serena Hotel iliyopo nchini  Uganda na Watanzania wanne ambao ni
Alikiba, 
Vanessa Mdee, 
Diamond na Darassa wameibuka washindi kwenye baadhi ya vipengele..
Alikiba ameibuka mshindi katika kipengele cha Wimbo bora wa mwaka Tanzania Seduce Me, Diamond ameshinda kipengele cha wimbo bora wa mwaka Afrika Marry You,
Vanessa ameshinda Msanii bora wa kike Africa Mashariki na Darassa ameshinda kipengele cha Wimbo ulio-hit Afrika Mashariki Muziki… (East Africa Super Hit)
Baadhi ya Vipengele hivyo….
AFRICA
Africa Song of the Year => Diamond Platnumz Ft. Ne-Yo –
Marry You
Africa Video of the Year => Mafikizolo – Love Potion
Best Francophone Africa Act => Toofan – Terre
Africa Best Female Artist => Tiwa Savage
Best Song from Western Africa => Davido – IF
Best Song from Southern => Africa Roberto – Into You
East Africa
Song of the Year => Kenya Nyashinski – Malaika
Song of the Year Tanzania => AliKiba – Seduce Me
Song of the Year Rwanda => Meddy – Slowly
Rwanda Video of the Year => Butera Knowless – Uzagaruke
East Africa Super Hit => Darassa Ft. Ben Pol – Muziki
East Africa Best Video => Diamond Platnumz – Eneka
East Africa Best Breakthrough Artist => Bruce Melodie
Best East African Collabo => Sheebah Ft. The Ben – Binkolera
East Africa Best Female Artist => Vanessa Mdee



Comments


Popular posts from this blog

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI 27.08.2017

Maajabu ya pacha walioungana, wajikuta katika penzi moja .

Picha sita 6 mende wamaajabu duniani

TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI 31.08.2017

TANZIA: Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) aaga dunia

Picha ya Beckham na mtoto wake Serengeti imeleta mjadala hadi kwao

MTWARA:watu watano wanashikiliwa na Jeshi la polisi

MANARA AMKABIDHI JPM KIWANDA

Jux afunguka haya kuhusu vanessa mdee

Marekani yatishia vikwazo kwa yeyote atakaekwamisha uchaguzi DRC