wema ashindwa kuzuia hisia zake ammwagia sifa Diamond

Wema amefunguka hayo, kufuatia Diamond kuachia ngoma mpya aliyomshirikisha msanii wa Marekani, Omario inayoitwa AFRICAN BEAUTY huku akimsifia namna wimbo huo ulivyo bora na jinsi alivyommezesha maneno ya Kiswalihi staa huyo wa Marekani.
Baadhi ya mashabiki wamedai huenda Queen huyo wa Bongo Movies anatengeneza mazingira ya kurudi rasmi kwa mpenzi wake huyo ambaye hivi karibuni ameachana na mama watoto wake, Zari The Bossy Lady kwa kile kilichodaiwa sababu kuwa Diamond amezaa na mwanamitindo Hamisa Mobeto.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wema ameandika ujumbe huu kwa Diamond;
All dat Said… Let’s get back to Reality…. Chibu, Unaweza…!!!Chibu, Unajua….!!! Keep Doin wat you do and Live Your Dream… Bonge moja la Track… Na Hongera kwa kummezesha Omarion Swahili… I can imagine kazi uliokuwa nayo… πŸ˜…… Salute kwako… . . . The Video be on Youtube Ladies & Gentlemen… I keep Repeating it wallahy… link on his Bio @diamondplatnumz @diamondplatnumz @diamondplatnumz @diamondplatnumz … . . . Picha twazitwanga Kisela, Post insta wanga kuwakera….πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Tatizo wanga wa Insta hawakawii kukukera wewe… πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… . . .

Comments


Popular posts from this blog

DROO YA KLABU BINGWA ULAYA HII HAPA

Nyumba ya Mbunge Kigoma Mjini Zitto Kabwe yaungua moto

Wanawake wasiowaita waume kwa majina yao India

Cristiano Ronaldo kawaonesha watoto wake mapacha leo

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO

Baada ya Kifo cha Mumewe… Zari Akwaa Aibu 5 #Tazama

hali ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu

Emmanuel Mbasha, aweka wazi haya .