Picha ya Beckham na mtoto wake Serengeti imeleta mjadala hadi kwao


SOKA ULAYA Jina la staa wa soka wa zamani wa kimataifa wa England David Beckham limezidi kuchukua headlines baada ya wiki hii kuonekana akiwa Tanzania katika hifadhi ya Serenget i akiwa pamoja na familia yake watoto wake wanne na mkewe Victoria.
Beckham akimbusu mwanae wa mwisho Harper Seven mwenye umri wa miaka mitano wakiwa Serengeti.
Ilijulikana kuwa Beckham yupo Tanzania baada ya kusambaa kwa video fupi akionekana Beckham na familia yake
Airport Dar es Salaam , Beckham
amepiga picha kadhaa na kuzipost
instagram akiwa Serengeti lakini picha na mtoto wake wa mwisho Harper imekuwa topic.
Picha aliyopiga David Beckham akimkiss mtoto wake Harper Seven katika lips baadhi ya mashabiki wanaomfollow wameonekana kuikosoa na kuona haipo katika maadili na wengine wakiona haina shida, mjadala ambao umeendelea hadi mtandao wa mirror.co.uk wa England ambapo ndio kwao na David Beckham kuandika mawazo ya mashabiki hao

Comments


Popular posts from this blog

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI 27.08.2017

Maajabu ya pacha walioungana, wajikuta katika penzi moja .

Picha sita 6 mende wamaajabu duniani

TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI 31.08.2017

TANZIA: Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) aaga dunia

MTWARA:watu watano wanashikiliwa na Jeshi la polisi

MANARA AMKABIDHI JPM KIWANDA

Jux afunguka haya kuhusu vanessa mdee

Marekani yatishia vikwazo kwa yeyote atakaekwamisha uchaguzi DRC