Picha sita 6 mende wamaajabu duniani

Mende huyu anayepatikana nchini Japan na mwalimu wake ni aina ya mende wanaopatikana barani Asia, wanaotajwa kuwa kwenye hatari ya kuangamia
Mende huyu anayepatikana nchini Japan na mwalimu wake ni aina ya mende wanaopatikana barani Asia, wanaotajwa kuwa kwenye hatari ya kuangamia
Mende huyo alipata umaarufu mitandaoni wakai picha za michoro yake zilisambaa katika mtandoa wa Twitter
Akiwa na kalamu zenye rangi mende huyo aliweza kuchora michoro tofauti
Michoro hiyo imewavutia wengi mitandaoni na hata kusababisha kutangazwa kuuzwa kupitia Ebay
Mende wa aina hii ni maarufu miongoni mwa watoto chini Japan
Mende hawa ni kati wa wadudu wenye nguvu nyingi zaidi duniani
Mdudu huyu na uwezo wa kupanda ukuta na pia anatajwa kusaidia hata kwenye mapishi
Mwenye mdudu huyu anaamini kuwa umaarufur wake utasaidia watu kuwapenda wadudu






BBC

Comments


Popular posts from this blog

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAPILI 27.08.2017

Maajabu ya pacha walioungana, wajikuta katika penzi moja .

TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI 31.08.2017

TANZIA: Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) aaga dunia

Picha ya Beckham na mtoto wake Serengeti imeleta mjadala hadi kwao

MTWARA:watu watano wanashikiliwa na Jeshi la polisi

MANARA AMKABIDHI JPM KIWANDA

Jux afunguka haya kuhusu vanessa mdee

Marekani yatishia vikwazo kwa yeyote atakaekwamisha uchaguzi DRC