Tamko la Kamati ya Chadema



Tumekuwa tunafanya uchumi wa matukio, kurukia rukia matukio Makinia limezikwa, tupo kweye Tegeta Escrow na IPTL  -

Kama wabunge wa pande zote mbili wangekuwa na msimamo hii bajeti ya serikali ya 2017/2018 isingepita

'Fedha zililizopelekwa kununua ndege zingepelekwa kwenye kilimo kuna Watanzania zaidi ya milioni 40 wangecheka' -

Kiwanda kilichokuwa kinazalisha ndara mwaka 1962 hakiwezi kuendelea kuzalisha ndara zile zile kwa dunia ya sasa -


Kilichofanywa kwenye makinia ni papara, wabunge CCM wakafanya papara hata Rais amefanya papara  na tumelishwa uongo- Mbowe

Deni la nje kwa sababu tumeshindwa kuzalisha ndani ili serikali ijiendeshe lazima tukope, hawa watu wanakopa mno

Sekta ya viwanda toka Magufuli ameingia madarakani vimekopa asilimia 0% kwa mujibu wa takwimu za BoT

'Hakuna mfanyabiashara duniani ambaye atapewa kitega uchumi kinachomuingizia faidi akakifunga'

'Viwanda vingi vilivyobinafsishwa vilikuwa vinaendeshwa kwa hasara, ni viwanda ambavyo vina teknolojia ya zamani' - Mbowe

Viwanda vingi vimefungwa kwa sababu ya kodi mbaya, kodi hazilipiki gharama za kufanya biashara nchi hii ni maumivu -

Viwanda vingi vimefungwa kwa sababu ya kodi mbaya, kodi hazilipiki gharama za kufanya biashara nchi hii ni maumivu -

Viongozi wetu wa Serikali walio wengi hawajui A, B, C za uchumi -

Wawekezaji wa ndani wamekuwa waoga kufanya uwekezaji ndani ya nchi kwa kuwa wanahofia kesho anaweza kuibuka mtu akasema vunja hapa -

Siku kadhaa kabla ya bajeti kupitishwa wabunge wa chama fulani walipewa milioni kumi kumi ili wapitishe bajeti - Mbowe

Comments


Popular posts from this blog

ILE SINTOFAHAMU YA NANI BINGWA WA VPL HII HAPA

Michezo:Ajibu huyo yanga

ELIZABETH MICHAEL ' LULU' awafungukia wasanii wa bongo move

fahamu kilichojiri nyumbani kwa Tundulisu