Picha za Neymar zaanza kufutwa Barcelona
Neymar atabaki historia katika kikosi cha Barcelona, hii ni baada ya uongozi wa klabu hiyo kuanza kufuta baadhi ya picha zilizo kwenye mabango yake.
Barcelona imeanza kufanya hivyo katika mabango mbalimbali yaliyo na wachezaji wake ambayo yanamjumuisha Neymar.
Nyota wa Barcelona Neymar amepewa ruhusa ya kuondoka Barcelona akitarajiwa kujiunga na PSG katika kitita cha rekodi ya pauni milioni 198 ambazo pesa hizo itakuwa ni rekodi mpya ya usajili duniani.
Hii ni kuonyesha kwamba kweli anakwenda PSG ya Ufaransa.

Comments