TETESI ZA SOKA ULAYA LEO
Real Madrid wamewaambia Manchester United kuwa ikiwa wanahitaji kumsaini Gareth Bale 28, watalazimika kumuachia kipa David de Gea 26, ili ahamie Bernabeu. (Mirror) Meneja wa zamani wa Livepool Rafa Benitez huenda akahama Newcastle kujiunga na Everton ikiwa Ronald Koeman ataihama Everton. (The Sun) Mesut Ozil 28, na Alexis Sanchez wote wa Arsenal hawatakuwa na mikataba miwishoni mwa msimu na Arsenal inatakata kuwauza mwezi Januari. (Star) Itawalazimu Liverpool na Barcelona kumng'ang'ania mlinzi wa Southampton Virgil van Dijik, ikiwa wangependa kumsaini mwezi Januari. (Mirror) Everton wako tayari kutoa ofa ya pauni milioni 31 kwa mchezaji wa kiungo cha kati wa Sporting Lisbon, William Carvalho 25, licha ya klabu hiyo ya Ureno kusema kuwa haumuuzi. (Daily Mail, via Record) Mshambuliaji wa Everton Henry Onyekuru 20, amethibitisha kuwa alikutana na maafisa wa klabu yake wiki iliyopita kuzungumzia kurejea mapema kutoka kwa mkopo na klabu ya Anderlecht. (Liverpool Echo) Ars...


























Comments