anyongwa hadi kufa na wasiojulikana


Watu wasiojulikana MkoaniShinyanga wamemnyonga hadi kufa Salome Paschal (30) mkazi wa Kijiji cha Zunzuli katika Kitongoji cha Kituli, Kata ya Salawe wilayani Shinyanga na kisha kuutupa mwili wake kwenye kichaka.
Akizungumza jana Jumapili Machi 18, 2018 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Simon Haule amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba, polisi wanaendelea kufanya uchunguzi kwa aliyehusika na mauaji ya hayo.
Akisimulia tukio hilo, mume wa Salome aitwaye Isaya Mshomari amesema mkewe ameuawa Machi 17, 2018 saa nane mchana kwa maelezo kuwa alimuaga kuwa anakwenda sokoni kununua mahitaji ya nyumbani kisha aje awapikie wafanyakazi waliokuwa shambani.

Na mwananchi

Comments


Popular posts from this blog

wawili wamefariki dunia katika majibizano ya risasi

Jumuiya ya Freemasons imetoa tahadhari nzito kwa Watanzania

Taarifa ya Serikali baada ya kauli za jana za Tundu Lissu

waziri mkuu majaliwa awa mkali

Kilichomkorofisha Mke wa Roma

. Ridhiwani Kikwete amefunguka haya kwa wananchi na baadhi ya viongozi wakae

Spika Ndugai Aagiza Kubenea Kusakwa, Zitto Kufikishwa Kwenye Kamati ya Maadili

Msigwa tunawindwa wabunge wanne CHADEMA -