Wsanii wanaowania MTV Europe Music Awards


MTV Europe Music Awards zimetangazwa na zitafanyika November 12 jijini London na baadhi ya wasanii kutokea Bara la Afrika kutajwa hususani Nigeria, South Africa , Angola na Kenya wametajwa kuwania tuzo hizo.
Wasanii wanaowania tuzo hiyo ya
Best African Act 2017 ni pamoja na
Davido na Wizkid wanaotokea
Nigeria, NastyC pamoja na Babes Wodumo kutokea South Arica ,
Nyashiski kutokea Kenya, C4 Pedro kutokea Angola, tuzo ya tuzo ya Best African Act 2016 alishinda Alikiba wa Tanzania.
Utambuzi wa muziki wao unaofanya vizuri Afrika na Duniani kwa ujumla umewapa jukwaa la kutambulishwa na kuwa miongoni mwa wanamuziki waliochaguliwa katika MTV European Music Awards 2017, kwa mwaka huku hakuna msanii wa Tanzania aliyetajwa.

Comments


Popular posts from this blog

mimi nipo sex Lulu diva

Tabia Nne za Mpenzi Asiyekuwa na Penzi la Kweli.

KUTOKA IKULU:Rais Magufuli amefanya uteuzi mwingine leo julai 6 2017

messi aamua kutokuwa mbinafsi

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu mikononi mwa polisi